"Bandika"
"Muundo huru"
"Hakuna vipengee vya hivi karibuni"
"Mipangilio ya matumizi ya programu"
"Ondoa zote"
"Programu za hivi karibuni"
"Jukumu Limefungwa"
"%1$s, %2$s"
"< dak 1"
"Umebakisha %1$s leo"
"Mapendekezo ya programu"
"Programu zako zinazopendekezwa"
"Pata mapendekezo ya programu kwenye sehemu ya chini ya Skrini yako ya kwanza"
"Pata mapendekezo ya programu katika safu ya vipendwa ya Skrini yako ya kwanza"
"Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye sehemu ya chini zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza."
"Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na utumiaji wako. Programu zilizo katika safu ya vipendwa zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza."
"Pata mapendekezo ya programu"
"Hapana"
"Mipangilio"
"Programu zinazotumiwa zaidi huonekana hapa na hubadilika kulingana na ratiba"
"Buruta programu kutoka kwenye safu ya chini ili upate mapendekezo ya programu"
"Mapendekezo ya programu yamewekwa kwenye nafasi isiyo na kitu"
"Mapendekezo ya programu yamewashwa"
"Umezima mapendekezo ya programu"
"Programu iliyotabiriwa: %1$s"
"Zungusha kifaa chako"
"Tafadhali zungusha kifaa chako ili ukamilishe mafunzo ya usogezaji kwa kutumia ishara"
"Hakikisha unatelezesha kidole kutoka ukingo wa kulia au kushoto kabisa"
"Hakikisha unatelezesha kidole kutoka ukingo wa kulia au kushoto hadi katikati ya skrini na uachilie"
"Umejifunza jinsi ya kutelezesha kidole kuanzia kulia ili kurudi nyuma. Sasa jifunze jinsi ya kubadilisha programu."
"Umeweka ishara ya kurudi nyuma"
"Hakikisha hutelezeshi kidole karibu sana na sehemu ya chini ya skrini"
"Kubadilisha hisi ya ishara ya nyuma, nenda kwenye Mipangilio"
"Telezesha kidole ili urudi nyuma"
"Ili urudi kwenye skrini iliyotangulia, telezesha kidole kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini."
"Ili urudi kwenye skrini iliyopita, telezesha vidole viwili kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini."
"Rudi nyuma"
"Telezesha kidole kutoka ukingo wa kushoto au kulia hadi katikati ya skrini"
"Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini"
"Hakikisha husitishi kabla ya kuachilia"
"Hakikisha unatelezesha kidole juu"
"Umeweka ishara ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza. Inayofuata, jifunze jinsi ya kurudi nyuma."
"Umeweka ishara ya kwenda kwenye skrini ya kwanza"
"Telezesha kidole ili uende kwenye skrini ya kwanza"
"Telezesha kidole juu kuanzia chini ya skrini yako. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza."
"Telezesha vidole viwili kuelekea juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza."
"Nenda kwenye ukurasa wa mwanzo"
"Telezesha kidole juu kutoka sehemu ya chini ya skrini yako"
"Kazi nzuri!"
"Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini"
"Jaribu kushikilia dirisha kwa muda mrefu kabla ya kuachilia"
"Hakikisha unatelezesha kidole juu, kisha usitishe"
"Umejifunza jinsi ya kutumia ishara. Ili uzime ishara, nenda kwenye Mipangilio."
"Umeweka ishara ya kubadilisha programu"
"Telezesha kidole ili ubadilishe programu"
"Ili ubadili kati ya programu, telezesha kidole juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie."
"Ili ubadilishe kati ya programu, telezesha vidole viwili kuelekea juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie."
"Badilisha programu"
"Telezesha kidole juu kutoka sehemu ya chini ya skrini yako, shikilia kisha uachilie"
"Hongera!"
"Kila kitu kiko tayari"
"Nimemaliza"
"Mipangilio"
"Jaribu tena"
"Safi!"
"Mafunzo ya %1$d kati ya %2$d"
"Tayari!"
"Telezesha kidole juu ili uende kwenye skrini ya kwanza"
"Gusa kitufe cha ukurasa wa mwanzo ili uende kwenye skrini ya kwanza"
"Uko tayari kuanza kutumia %1$s"
"kifaa"
"Mipangilio ya usogezaji kwenye mfumo"
"Shiriki"
"Picha ya skrini"
"Iliyogawanywa"
"Gusa programu nyingine ili utumie kipengele cha kugawa skrini"
"Ondoka kwenye hali ya skrini iliyogawanywa"
"Chagua programu nyingine ili utumie hali ya kugawa skrini"
"Kitendo hiki hakiruhusiwi na programu au shirika lako"
"Ungependa kuruka mafunzo ya usogezaji?"
"Utapata mafunzo haya baadaye katika programu ya %1$s"
"Ghairi"
"Ruka"
"Zungusha skrini"
"Elimu ya Upauzana"
"Buruta programu pembeni ili utumie programu 2 kwa wakati mmoja"
"Telezesha kidole juu taratibu ili ufungue Upauzana"
"Pata mapendekezo ya programu kulingana na ratiba yako"
"Washa usogezaji kwa kutumia ishara kwenye Mipangilio ili ufiche Upauzana kiotomatiki"
"Kamilisha mengi kwa kutumia Upauzana huu"
"Funga"
"Imemaliza"
"Mwanzo"
"Ufikivu"
"Nyuma"
"Kibadilishaji cha IME"
"Vilivyotumika majuzi"
"Arifa"
"Mipangilio ya Haraka"
"Upauzana"
"Upauzana umeonyeshwa"
"Upauzana umefichwa"
"Sehemu ya viungo muhimu"
"Onyesha Upauzana kila wakati"
"Badilisha hali ya usogezaji"
"Kitenganishi cha Upauzana"
"Sogeza juu/kushoto"
"Sogeza chini/kulia"
"{count,plural, =1{Onyesha programu # zaidi.}other{Onyesha programu # zaidi.}}"
"%1$s na %2$s"
"Kuweka programu kwenye Eneo-kazi"
"Ghairi"